Showing posts with label PHOTOS. Show all posts
Showing posts with label PHOTOS. Show all posts

HII NI WAKATI MIDUME MITATU INATAKA KUMSHAWISHI BINTI WAKA-NONIINO!!! HEHEHE

Tuesday, September 30, 2014


NENO MOJA KWA MREMBO HUYU!!!!



Jamaniii wasichana wengii tunajiremba usoniii weee ila sehem zilizojifichaa ni sheeeedaaa khaaa sa hiki ndo nn??? Usafi jamanii unajua tunajisahau sanaa au ndo hulkaa!!! Tag yo friend aje aonee hili shamba lililokolea mboleaa

BABAZIRO


DAH KWELI ELIMU YA MSINGI IWE MPAKA FORM 4...Shoe Shine!!!!


DAH HESABU SIO KWA KILA MTU...UNGEKUA MWALIMU UNGEMPA MAKSI NGAPI HUYU!!!


UNADHANI INGEKUWAJE HAWA WAJINGE WANGEKUWA WANAPIGANA MAENDEO YA MOMBASA....HEHEHE


MAMA LA MAMA IRENE UWOYA ALIVYOJIACHIA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA WASTARA...PICHAZ

Monday, September 29, 2014


TANZIA: MSANII SIDE BOY AFARIKI DUNIA LEO HII

Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim, aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia.
Taarifa kutoka mkoani Lindi zinasema Side Boy amekufa leo Septemba 29, 2014 katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani humo. 


 Marehemu aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’
Hadi sasa bado haijafahamika kuwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani



R.I.P Side Boy Mnyamwezi

BABAZIRO


MIMI PENDA SANA WEWE!!!!! KAMA NA WEWE PENDA HUYU.....LIKE HII


BAADA YA UVUMI KUWA ZILE MBWEBE ZA WEMA KUPEWA GARI NI FAKE...WEMA AIBUKA NA KADI YA GARI...

Baada ya jana mwanadada wema sepetu kupewa zawaidi ya Gari aina ya NISANI -Murano....ilivumu kuwa iliilikuwa zuga tu..kutokana na kile kinachodaiwa ni kutafuta KIKI...Sasa leo kupitia ukurasa wake wa IMSTAGRAM manager wa mwanadada huyu, Martin Kadinda amefunguka baada ya kutupia picha hii ;.

"Yes…. Not only Murano from ya baby @diamondplatnumz this BMW is yours yes…. Suprised kuona jina kwa kadi?? I meant it… this car came from kazi ndogo tufanyazo na support kubwa ya watu who wish you the best always… peke yangu nisingeweza bila support yao. One thing you should know nimejitolea kufanya kazi na wewe because naamini kwa tanzania ur my number one celebrity and my wish is to see u living as a truly superstar…. Make my dreams come true basi.. Wema mimi natembelea vimeo lakini siwezi kukubali wewe ushuke huku.. Wema its hight time u stand and this is high time to understand kuwa wewe ni star and u deserve the best from ya fame…!! People loves u so much….."
  

BABAZIRO


NDOA ZA NAMNA HII HUWA ZINADUMU SANA!!! HAKUNA MBWEMBWE.....


CHUCHU WA RAY AME-SHARE NASI PICHA HIZI ZA MPENZI WAKE VICENT KIGOSI KITANDANI..HEHEHHE

Saturday, September 27, 2014


HAMISA MOBETO SASA AMEVUKA MSTARI...KIVAZI HIKI MICHANO MICHANO NI NOUMA SANA!!!

Maoni yako tafadhari...
Vinguo hivi huvaliwa na wadada wauzaji....cheki hiii chini ya corazon...

ZAIDI




PICHA 5 ZA WOLPER AKILA KILAJI NA MACHOSTI WAKE!!!

Kazitupia kwenye Ukurasa wake wa INSTAGRAM...

 

BABAZIRO



LEO NI BIRTHDAY YA WEMA SEPETU AKA MADAME..UNAKIPI CHA KUMWAMBIA?!!!


 

Search

Sponsor

photo
Copyright 2010 KIBAJAJI. All rights reserved.
Themes by Ex Templates Blogger Templates - Home Recordings - Studio Rekaman